Konde Boy Harmonize katisha sana na album yake mpya '31' iliyotoka Septemba 4! Ngoma kama 'Imeshindikana' na Jay Melody inatesa kinoma YouTube, views milioni 1.3 ndani ya siku chache tu! Hii album ina collabo kibao kutoka East Africa na kwingineko, vibe ni la kimataifa kweli. Wewe ngoma gani inakubamba zaidi kwenye '31'?

0 likes0 commentsin Bongo Flava & Tanzania Music

Join Bongo Flava & Tanzania Music on Teka

Join free to reply here, post your own, and earn from what you share.