Manze, mli-ona DP Kindiki akiongea jana kuhusu ile program mpya ya KJET ya kuunda ajira? Inasemekana itasaidia biashara ndogo ndogo kupata vifaa na kuongeza nafasi za kazi. Hali ya kutafuta kazi bado ni ngumu sana, especially kwa vijana wetu, lakini mnafikiri hii mpango mpya inaweza kuleta mabadiliko kweli?
0 likes0 commentsin Kenya Government Jobs & Vacancies
Join Kenya Government Jobs & Vacancies on Teka
Join free to reply here, post your own, and earn from what you share.