Hivi mmeona TikTok inavyobadilisha game ya Bongo Flava? Wimbo mpya unatrend kwanza huko na challenges zake, unagonga sana kabla hata haujapenya radio. Mbosso na 'Ozalima' yake wameonyesha kweli, mpaka Kenya wanapiga kelele! Ni wimbo gani umegonga sana huko TikTok kwako siku hizi?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.