Kumekucha, jamani! Nani kaskia stori ya Diamond Platnumz kuhusu ndege zake? Eti bado anakodi jet kutoka Nairobi kwa sababu huku kwetu Tanzania hakuna za kifahari, na safari moja ya Nigeria inamgharimu mpaka Shilingi milioni 400! Hii ni balaa au ndio maisha ya wasanii wakubwa? Mnafikiri wasanii wetu wanafaa kuwekeza hapa nchini kwenye huduma kama hizi?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.