Mambo vipi wadau! Mambo ni moto kweli wiki hii, Diamond Platnumz na Zuchu wameachana, halafu Diamond kashaanza kuonyesha mrembo mpya! Ila pia, Harmonize kashadrop ngoma mpya kibao leo, kama 'Wewe' na 'Leo' na Mbosso ziko moto sana! Kwa chart za wiki hii, mnatabiri nani atachukua nani kwenye chati za Bongo Flava, Konde Boy au Chibu Dangote?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.