Mambo vipi wadau wa Bongo Flava! Mambo ya mjini sasa hivi ni Diamond Platnumz na zile stori zake za Julai. Kwanza Zuchu anatangaza kuachana baada ya miaka sita, alafu Diamond anaonekana na mwanamke mwingine, halafu anasema mali zake zote ni za Mama Dangote! Hadi Baba Levo ameingilia kati, anasema watarudiana tu. Hizi drama za Wasafi zinatupa maudhi na burudani kwa pamoja. Kwenu, mnafikiri hii ishu ya Chibu na Zuchu itaishia wapi jamani?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.