Mambo vipi wanangu! July imeingia, na Diamond Platnumz alisemaga WCB Wasafi watatuletea wasanii wapya mwezi huu. Si tunajua namna anavyopenda kutoa vipaji kutoka mtaani, na mara nyingi wanaleta moto kwenye game. Nani unahisi anaweza kuja na vibao vikali na kutikisa Bongo Flava mwaka huu? Tupe majina hapa!
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.