Mambo vipi wanangu wa Bongo Flava! Leo ndio leo, tumepata mdundo mpya kutoka kwa Billnass na Nandy, "HALLO" imeingia sokoni fresh kabisa. Hata Jay Moe naye kaja na "40 BARS" leo. Diamond Platnumz na WCB Wasafi pia wametangaza wanatuletea vipaji vipya hivi karibuni. Hii Bongo Flava yetu inazidi kutamba, wewe ngoma gani inakupa vibe zaidi wiki hii?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.