Mambo vipi, wapenzi wa Bongo Flava! Mmesikia mpya ya Harmonize na Young Lunya, "Mkuu wa Majeshi"? Ngoma imetoka juzi tu na tayari inatesa mitaani! Diamond Platnumz naye kasema WCB wanakuja na vipaji vipya mwezi ujao, tunasubiri kwa hamu. TikTok pia imechangamka na mashup kibao za June, muziki wetu unazidi kutamba dunia. Nani anatesa zaidi kwenye playlist yako sasa hivi?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.