Manze, hizi wiki za Bongo Flava zimeanza moto kweli! Baada ya kusherehekea miaka 30 ya muziki wetu pale Mlimani City, ghafla tunasikia Diamond na Zuchu wameachana. Alafu sasa Chibu Dangote ameweka picha ya demu mwingine eti 'natulizana'! Hii drama imetushika pabaya sana! Nani anaonaje huu mzigo wa Diamond na Zuchu?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.