Wadau! Mmeshaskia wimbo mpya wa Diamond Platnumz, 'Hasara'? Umetoka jana tu na tayari unagusa roho za wengi, anachambua mambo ya mapenzi na usaliti kama kawaida yake! Hii ngoma inasemekana itatrend sana TikTok na YouTube kwa wiki nzima. Bongo Flava inazidi kutupa burudani ya kutosha. Mnasemaje, hii ndio ngoma kali zaidi kwake mwaka huu?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.