Wana Bongo Flava wenzangu! Mmesikia stori ya Harmonize na album yake mpya, '31'? Tangu atoe ile visualizer ya 'Imeshindikana' na Jay Melody, YouTube imewaka moto! Eti ameachana na Kajala tena, alafu anatuonyesha kasri lake jipya Salasala. Huyu jamaa haishi kutushangaza! Nani keshaskiza album yote? Ngoma gani imekukata zaidi?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.