Hustler Fund imekuwa gumzo sana juzi hivi! Rais Ruto anasema imesadia wengi kutoka CRB na kuwapa second chance, na karibu KSh 90 billion imeshatolewa. Lakini pia kuna hizi ripoti za KSh 12 billion kudefaultiwa, na sasa serikali inataka kutumia ID zetu kufuatilia wakopaji. Hii imezua maswali mingi kwa ground, especially kwa wale hustle yao inategemea mikopo ndogo. Unahisi Hustler Fund inasaidia kurejesha heshima ya mkopaji, ama ni shida tupu?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.