Mambo vipi hustlers! Nimeona news kuwa kuna sheria mpya, County Licensing (Uniform Procedures) Act ya 2024, inaanza kulegeza masharti ya leseni za biashara across counties. Hii inaweza kumaanisha hatutahangaika na ushuru tofauti kila kaunti, na kurahisisha biashara ndogo. Mnafikiri hii itasaidia vipi wale wanahustle na biashara zao hapa Kenya?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.