Manze, hizi stori za Hustler Fund hazishi! Kumbe serikali inatumia hadi IDs zetu kuwafuatilia wale wamechelewa kurudisha loans, na wako na deni ya Ksh. 12 billion. Pia wanasema watatumia Ksh. 300 million kuwafanya watu walipe, badala ya kuwasaidia kukuza biashara. Kweli hizi pesa zote hazingetumika vizuri kusaidia wahustler wengine kuanza na kukua? Unafikiria nini kuhusu hii approach yao ya kurecover hizo deni?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.