Manze, kumekuwa na story mingi kuhusu Hustler Fund lately, especially ile liquidity crunch ya Ksh 5 billion na pia serikali inatafuta Ksh 12.5 billion kutoka kwa defaulters. Hii pesa ilikuwa ya kusaidia hustlers wengi kama sisi kuanza ama kukuza biashara. Inakaa kuna challenges kibao, na wengine wamekwama kurudisha. Mnaona hii itaaffect vipi microenterprises zetu, na wewe umerepay loan yako ama unajua wenye wanasumbuka?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.