Mko aje ma Hustler? Kumekuwa na kelele mingi kuhusu Hustler Fund, na ni kama KSh 12 billion imebaki haijalipwa! Sasa serikali inasema itatumia IDs zetu kutrace defaulters na pia watatumia KSh 300 million kuwashawishi watu kulipa. Hii ni noma, kwani tunataka funds ziendelee kusaidia biashara zetu ndogo. Je, mnaona hii mbinu ya kutumia ID itafaulu kuleta pesa zinarudi?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.