Wasee, kuna hii story ya Hustler Fund inazunguka sana. Kumbe serikali inatafuta KSh12 billion za loans ambazo hazijalipwa, na wanasema watafumua IDs. Mbaya zaidi, wanataka kutumia KSh300 million ati ya 'sensitization' kurecover pesa. Hii ni njia gani sasa, ya kusaidia hustler au kuongeza tu pressure?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.