Wasee, mko aje? Nimeona Hustler Fund sasa itajitegemea na repayments, na pia wamefungua njia ya kulipa na Bonga Points. Hii inamaanisha nini kwako kama mjasiriamali wa jua kali au boda boda? Je, mnapata bado fund inasaidia kuboost biashara, ama kuna challenges mpya mnapitia?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.