Wasee, mmesikia Hustler Fund imefikisha KES 90 billion kwa loan disbursements na zaidi ya 28 million registered members? Hiyo ni pesa mingi sana inazunguka kwa hustlers! Kama umepata loan kutoka Hustler Fund, imekusaidiaje kukuza biashara yako ama ile ya mtu unajua?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.