Wasee, mmesikia President Ruto amekazia sasa foreign traders wa small businesses? Eti biashara kama hawking na kuuza duvets ni zetu, si za wageni, na crackdown imeanza leo! Hii inakuja baada ya wamachinga wetu kulia sana kuhusu ushindani na pia hizo taxes mpya za import zinazopandisha bei ya bidhaa. Mnafikiri hii hatua itasaidia biashara zetu za jua kali na microenterprises kupumua na kukua kweli?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.