Wasee, mmesikia President Ruto amesema Hustler Fund imetoa karibu 90B Bob kwa Wakenya zaidi ya 27M, na imeokoa wengi walikuwa CRB? Hiyo ni good news sana for our small businesses. Lakini sasa, nasikia kuna story ya KSh5 billion liquidity crunch, eti inawaaffect wale wanataka kukuza biashara. Mnaonaje, hii inamaanisha Hustler Fund bado iko strong ama tuko na challenges mbele?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.