Wasee, mmeskia President Ruto alisema Hustler Fund imetoa KSh 90 billion kwa Wakenya zaidi ya milioni 28 tangu ilipoanza? Hiyo ni noma sana, na inalenga kusaidia biashara ndogo na vijana wapate mikopo na hata kuweka akiba. Kwa wale wametumia, imewasaidia vipi kufikia malengo yenu ya kibiashara?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.