Wasee, mnasemaje? Kumekuwa na maneno mingi kuhusu Hustler Fund lately. Apparently, kuna liquidity crunch ya Ksh5 billion na serikali inachase defaulters wa Ksh12 billion, hata na budget ya Ksh300M ya "awareness" ya kurecover hizo deni. Hii story ya Hustler Fund kuisha allocations mpya next financial year pia inaleta maswali. Do you think the fund is still helping our small businesses and jua kali sector as it should?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.