Wasee, mnasikia maneno ya Hustler Fund? Government inasema wanataka kutumia National ID kurecover zile loans hazijarudishwa, na wanapanga kutumia KSh 300 million kwa awareness. Hii pesa ni mingi sana, especially na default ya KSh 12 billion yenye bado inasumbua. Wengi wetu hapa Kenya bado tunajaribu kujiinua na biashara ndogondogo, na tunaona hii initiative inafanya watu wafikirije. Mnafikiri hii approach ya serikali itasaidia kweli kupunguza defaulters, ama inawatia hofu vijana wengi wanaohustle?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.