Wasee wa biashara ndogo ndogo, mko aje na hii maneno ya kodi na bei za kuimport bidhaa? Naskia traders wengi wamechoka na wanapanga kudemonstrate tarehe 28, hapo Alhamisi, chini ya kauli mbiu 'Businesses Under Siege.' Hiyo story ya kuongeza customs benchmark kwa cargo kutoka KSh 2.5M hadi KSh 3.2M inasumbua sana, eti inameza faida zetu zote. Hii hali inaathiri vipi biashara yako, na unaona solution ni gani?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.