Mambo vipi wadau wa mpira! Semi-fainali za Kombe la Dunia zimetufikisha pabaya, na naona kila mtu anachanganyikiwa kutafuta ratiba na wapi pa kuangalia mechi zilizobaki. Hata Google wanasema, search za World Cup zimepiga rekodi vibaya mno, na AzamTV na DStv wako tayari na packages zao kwa bei za Tsh ili tusipitwe na burudani hii ya nguvu. Tunaona nani atabeba taji mwaka huu?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.
← Back to Watch World Cup 2026 East Africa · All Communities