Mambo vipi wapenzi wa mpira! FIFA World Cup 2026 inaanza soon, Juni 11, na tunajua wengi mnajiuliza AzamTV na DStv vipi. Nimeona tayari wamethibitisha wataonyesha mechi zote 104 live, na AzamTV wana vifurushi mbalimbali, hata vya wiki kuanzia TZS 5,000 tu. Si tunasubiri kuona wawakilishi wetu wa Afrika wakifanya kweli ulimwenguni? Ninyi mmejipangaje kuangalia mechi zote, washkaji?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.
← Back to Watch World Cup 2026 East Africa · All Communities