Wadau wa soka! Habari njema leo! AzamTV wamethibitisha watatuonyeshea Kombe la Dunia 2026 live hapa Bongo na East Africa nzima, mechi zote 104! Hii ni balaa! Wamesema watahakikisha tunapata content ya kutosha kwa bei nafuu. Lakini sasa, naona DStv/SuperSport nao wamesema watarusha mechi zote pia. Swali langu, mnafikiri AzamTV watatupatia vifurushi vya bei poa kama vya kawaida (kama vile vya Tsh. 12,000 au 35,000) au watapandisha? Au mtakwenda na DStv tu?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.
← Back to Watch World Cup 2026 East Africa · All Communities