Wapenzi wa mpira, Kombe la Dunia limeshawasha moto! Tunajua wengi mnafuatilia vikali, hasa mechi za usiku wa manane au alfajiri kutokana na tofauti ya saa. AzamTV ndio home kwa mashabiki wengi hapa Bongo, na wanazo vifurushi mbalimbali. Je, ushajipanga na kifurushi chako cha Azam Play cha shilingi 35,000 au unatumia njia gani kuhakikisha hukosi mtanange hata mmoja?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.
← Back to Watch World Cup 2026 East Africa · All Communities