Wapenzi wa mpira Tanzania! Hii World Cup sasa imewaka moto kweli, mechi za kufa mtu kila kona! AzamTV wametuhakikishia tutaona mechi zote 104 live, hata kama ndiyo unanunua kisimbuzi chao cha TZS 99,000. Na wale wa DStv pia mpo vizuri na vifurushi vyenu vya SuperSport. Mmeshaangalia ratiba ya mechi za leo? Timu gani mnaipa nafasi ya kusonga mbele?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.
← Back to Watch World Cup 2026 East Africa · All Communities