Eish, wazito! Hii story ya FKF Premier League inazidi kuwa tricky. Ligi ilifaa kuanza juzi, lakini sasa imesitishwa tena na kesi za korti, hata ile ya Kariobangi Sharks! Gor Mahia's vice-chair amesema wazi kuwa kuna shida kubwa na utawala wa FKF. Hii inaumiza wachezaji na fans vile vile. Mnafikiria nini, ligi yetu itaweza kuanza lini na hali ikiwa hivi?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.