Eish, hiyo game ya Harambee Starlets jana against Morocco ilikuwa ngumu sana,…
Eish, hiyo game ya Harambee Starlets jana against Morocco ilikuwa ngumu sana, that 4-0 loss ni chungu. Lakini tusi give up! Thursday tuna meet Senegal, na hiyo game ni must-win kama tunataka kutinga…