Huku transfer window ya FKF Premier League ikiendelea kupasha moto, Gor Mahia wako busy sana sokoni na tetesi zinasema wako karibu kunyakua wachezaji wakali, ikiwemo keeper wa Ingwe, Humphrey Katasi! Hii inaweza vunjana sana kambi za fans, hasa baada ya Mashemeji derby ya wiki iliyopita. Mnafikiri K'Ogalo watajipanga aje msimu ujao na hawa wachezaji wapya?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.