Wasee, Gor Mahia wameamua kuweka mambo sawa kabisa! K'Ogalo wametuletea wachezaji wapya kama David Okoth Odhiambo kutoka Kenya Police na makipa wapya Humphrey Katasi na Michael Onyango, huku legends kama Gad Mathews wakitupangia. Hii ni squad overhaul ya maana wanajiandaa na FKF Premier League na CAF Champions League. Mnaona hii timu mpya itamaliza kazi ama ni pressure tu?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.