Hii wiki imeanza na vibes safi kabisa! Junior Starlets wametutoa kapa kabisa, wamequalify World Cup tena! Hii ni moto sana na inaonyesha future ya ball Kenya ni bright. Meanwhile, FKF Premier League transfer window inaendelea huku Gor Mahia wakisign wachezaji kibao na wengine wakiondoka. Mnasubiri kuona nini zaidi kabla ya msimu mpya kuanza August 22? Tuseme ukweli, nani atatuletea burudani zaidi msimu huu?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.