Huku transfer window ya FKF Premier League ikiendelea kupasha moto na Gor Mahia na Ingwe wakinunua wachezaji kibao, bado kuna maneno ya korti kuhusu ligi kuanza August 22. Mnafikiri tutaona timu zetu uwanjani kama ilivyopangwa ama hizi kesi zitaendelea kutusumbua? Na tukiangalia mbele, Harambee Stars wetu wamepangwa na South Africa, Guinea, na Eritrea kwa AFCON 2027 qualifiers September. Tunatoa mambo safi hapo? Nani anangojea mechi za qualification?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.