Sema kanyaga! Gor Mahia wamefanya kweli, wakiingia fainali ya CECAFA Kagame Cup after kuchapa Al Hilal kwa penalti za nguvu kule Kigali! K'Ogalo wetu wako ready kuleta kombe home. Ni Rayon Sport sasa, je, vijana wanaweza tushangaza na kunyanyua bakuli? Tutaona siku ya Ijumaa! Nani ako na imani na K'Ogalo?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.