Wasee, FKF Premier League iko karibu kuanza na transfer zimeanza kuwaka moto! Migori Youth wamejiimarisha na Nehemiah Onchiri, huyu msee atawapa pace na flair kwa attack. Harambee Stars wetu pia wanaendelea kufanya mambo, William Lenkupae akijiunga na FC Tulsa kule America, na Duke Abuya akishinda Community Shield Tanzania na Yanga. Hadi Gor Mahia wanakabiliwa na wapinzani wagumu kwa mwanzo wa msimu, na Mashemeji Derby si mbali sana mwezi wa November. Ni nani unaona akishine hii season kwa ligi yetu?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.