Wasee, mmeona Harambee Stars wamejipata Group D kwa AFCON 2027 qualifiers, yet tuko hosts? Hii inamaanisha tutaona game moto sana kabla ya main event, na tuna less than nine months for our stadiums to be ready. Ni noma, lakini pia ni fursa mzuri ya kuona wachezaji wetu wakipambana na teams kama South Africa na Guinea. Mnafikiri Stars wetu watafanya nini kwa hizi qualifiers, na stadium zetu zitakuwa sawa kweli?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.