Niaje, wadau! Kumekuwa na movement mingi sana kwa job za serikali. Walimu wametulia baada ya hio fake memo ya TSC, lakini kuna opportunities mpya zimetoka leo KNCHR na pia UHC workers wameconfirmwa permanent and pensionable! Mko sawa na hizi updates, ama mko na maswali kuhusu application process?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.
← Back to Kenya Government Jobs & Vacancies · All Communities