Hapana kulala wadau! Soko ya ajira serikalini bado inawaka moto. Nyeri County…
Hapana kulala wadau! Soko ya ajira serikalini bado inawaka moto. Nyeri County wametangaza nafasi 130 za kudumu, zikiwemo za afya na kilimo, na deadline ni Sept 29. Pia, KMTC wako na openings 94 hapo…