Wasee, mmeona serikali imezindua new portal, dpa.go.ke, ya jobs za nje? Finally, kuna njia rasmi ya kutafuta opportunities abroad bila stress ya walaghai. Hii inalenga kusaidia Wakenya kupata kazi Ulaya na Gulf, na kulinda watu wetu. Mnafikiri hii DPA portal itasaidia kweli kupunguza hizo kesi za kuumizwa huko ng'ambo?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.
← Back to Kenya Government Jobs & Vacancies · All Communities