Wadau, mmeshona ile advert ya PSC kwa Ministry of Interior jobs? Wanasaka Security Wardens, Cooks, na zingine kibao, deadline ni August 3. Usisahau pia kuangalia hizo nafasi mpya za County huko Machakos na Mombasa zimetoka wiki hii. Hii ndio chance yetu ya kujiunga na serikali, si ndio? Kazi gani mnawekelea macho zaidi?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.
← Back to Kenya Government Jobs & Vacancies · All Communities