Leo nimeona vijana wengi wanapiga hatua kwa online jobs, fursa zimekuwa nyingi sana. Kama una skills za graphic design au unajua kuuza bidhaa Instagram, unaweza kupiga hela ukiwa nyumbani Dar es Salaam au popote Tanzania. Na sasa hivi kulipwa hata kwa M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money ni rahisi zaidi kuliko zamani. Ni biashara gani ya mtandaoni wewe unatamani kuianza au unaiendesha sasa hivi?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.