Kijana wangu, umeshawahi kufikiria kutumia Google Trends kujua ni nini haswa…
Kijana wangu, umeshawahi kufikiria kutumia Google Trends kujua ni nini haswa watu wanatafuta mtandaoni hapa Bongo na hata nje? Kujua hili kunaweza kukufungulia milango ya online jobs kama kuandika…