Wadau, naona wengi wanachunguza jinsi ya kupiga hatua kidigitali na kuingiza kipato mtandaoni hapa Bongo. Kuna skills kama social media management au graphic design ukitumia hata Canva, zinaweza kukufungulia milango mingi sana, hata kama ndo unaanzia. Hata vijana wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (Mlimani) au UDOM wanachangamkia hizi fursa. Unapiga kazi zako, malipo yanaingia M-Pesa au Tigo Pesa kirahisi tu. Ninyi mnafikiri ni skill gani ya digital ambayo inalipa zaidi hapa kwetu?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.