Mambo wapendwa! Leo nataka tujadili, nani anafanya kazi za kuandika content au kusimamia mitandao ya kijamii online hapa Bongo? Nimeona watu wengi wanatafuta njia za kupiga mkwanja wakiwa nyumbani, na hizi kazi zinaonekana kulipa vizuri hata kama unaanza na Tsh kidogo. Ni platform gani zinawafaa zaidi kwa kupata gigs na kulipwa huku Tanzania?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.