Mambo vipi wanajamii! Nimeona wengi bado tunatafuta njia za kupiga mkwanja online bila mtaji mkubwa, na hizi kazi za data entry na virtual assistant bado zinachangamka sana. Kufanya kazi na kulipwa kwa dola ($) alafu unabadilisha kwenda shilingi zetu (TZS) kunaweza kubadili mambo, maana thamani ya dola bado iko juu. Wewe unaona ni fursa gani nyingine inayowezekana kuanza sasa hivi na hela kidogo?
Only 0 members so far — this community is just getting started. Join free on Teka, reply to posts and earn real money from your content.